Search

78 results for Anna Potinus :

  1. Vijana watakiwa kuchangamkia taka

    Wakati vijana wengi wakilalamika kuhusu ukosefu wa ajira hivyo kujikuta mitaani wakilia njaa, fursa katika mnyororo wa thamani wa taka, zinazidi kuongezeka huku wakitakiwa kuzichangamkia.

  2. VIDEO: Miaka 62 ya mateso kwa wajawazito

    Vuta hisia ya safari ndefu kwa pikipiki katika barabara mbovu ya vumbi, yenye milima, mabonde na mashimo.

  3. Lema aeleza sababu za kuiacha familia yake Canada

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema ametaja sababu ya kurudi Tanzania bila familia yake kuwa...

  4. TASAC waweka mkakati kudhibiti umwagikaji mafuta baharini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeandaa mafunzo yatakayohusisha wadau wa mafuta nchini ili kudhibiti umwagikaji wa mafuta baharini unaoathiri maisha ya binadamu na viumbe vya baharini.

  5. Miguna Miguna arudi Kenya

    Mwanasheria huyo machachari amefanikiwa kurejea nchini Kenya baada ya kupita zaidi ya miaka minne akiwa kizuizini nchini Canada tangu mwaka 2018.

  6. Bosi ZMA aipa neno Serikali

    Serikali imeombwa kuridhia mikataba ya kimataifa ya kuhifadhi mazingira ya usafiri wa bahari kwa kusimamia ulinzi wa sekta hiyo pamoja na kuendesha vyombo kwa usalama.

  7. Bandari ya uvuvi kuleta mabadiliko Kilwa

    Ujenzi wa bandari ya uvuvi ya kisasa wilayani Kilwa mkoani Lindi unatarajiwa kuleta mabadiliko chanya kwa wavuvi kufuatia fursa zitakazopatikana ikiwemo upatikanaji wa soko la uhakika ndani na...

  8. Wanafunzi Lindi waomba elimu uchumi wa buluu

    Baada ya Serikali kutangaza kujenga bandari ya uvuvi ya kisasa mkoni Lindi lengo likiwa ni kukuza sekta ya uvuvi na kufanikisha uchumi wa buluu, baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika Wilaya ya...

  9. Serikali kujenga bandari ya uvuvi Kilwa

    Serikali imesema imepanga kujenga bandari ya uvuvi ya kisasa Kilwa ili kusaidia sekta ya uvuvi kukua na kufanikisha uchumi wa buluu.

  10. Serikali yaongeza posho za safari hadi Sh250,000 kwa siku

    Dk Ndumbaro asema kuwa mabadiliko hayo yataanza rasmi Julai Mosi, 2021 na kwamba bajeti iliyopangwa ndiyo itakayotumika kutekeleza viwango hivyo.

Page 1 of 8

Next